Back to home

Mafunzo kwa wasichana sekenani Narok Magharibi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
4h ago
Wasichana 100 kutoka baadhi ya vijiji vya Sekenani eneo bunge la Narok Magharibi wamepokea hamasa kuhusu usafi wa siku za hedhi pamoja na maadili katika jamii wakati wa likizo hii ndefu ya Desemba