Back to home

Kikosi cha Tchoukball cha Kenya kinawakilisha nchi katika mchuano wa Geneva

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
2h ago
Timu ya taifa ya mchezo wa Tchoukball inafanya maandalizi ya mwisho tayari kupeperusha bendera ya kenya kwenye mchuano wa kimataifa huko geneva uswizi mwezi huu. Luqman mahmoud na taarifa kamili.