Back to home

Serikali ya Kajiado yaanza kutoa hatimiliki za ploti mijini

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 4, 2025
1w ago
Wamiliki wa shamba la kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wametishia kufanya maandamano hadi afisi ya rais baada ya wawekezaji wa kibinafsi kuingia kwenye shamba hilo ili kuendeleza uchimbaji madini bila ruhusa kutoka kwao.
Advertisement