Back to home
Wakazi wa Ilmunkush Kajiado Mashariki waishi gizani kwa zaidi ya miaka 10
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
4w ago
Wakazi wa eneo la Ilmunkush huko Kajiado East wanalalamikia kukosa umeme kwa zaidi ya miaka kumi licha ya nyaya na nguzo za stima kupitishiwa katika eneo hilo kitambo. Wanasema malalamishi yao kwa kampuni ya usambazaji umeme - Kenya Power, yanaendelea kupuuzwa. Na kama anavyoarif
Advertisement
Advertisement



