Back to home
Wanabodaboda watakiwa kuwa waangalifu kwenye huu msimu wa siasa
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
1w ago
Wahudumu wa bodaboda katika kaunti wa Garissa wametakiwa kuwa waangalifu wakati huu siasa zinapoanza kuchacha katika maeneo mengi ya kaunti hiyo.
Advertisement
Advertisement





