Back to home
Marekani yaonya Tanzania kuhusu ukiukaji wa haki
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
2h ago
Serikali ya Marekani sasa inasema inaangazia upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ati ati ya uchaguzi iliyoshuhudiwa nchini humo hivi majuzi. Serikali ya rais Donald Trump ikiilaumu tanzania kwa kuendelea na ukandamizaji wa uhuru wa dini na kujieleza pamoja na dhulma dhidi ya





