Back to home

Mtu mmoja auawa na bidhaa za thamani ya shilingi milioni 2.5 kuibwa eneo la Kahawa West, Nairobi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 5, 2025
1h ago
Mtu mmoja ameuliwa na bidhaa za thamani ya shilingi milioni 2.5 kuibwa katika duka la pombe eneo la Kahawa West, Nairobi. Wahalifu walivamia duka hilo saa kumi alfajiri na kuharibu kamera za CCTV kabla ya kutekeleza wizi huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenya