Back to home

Kampeni za urais Uganda zashika kasi huku Museveni na Kyagulanyi wakikagua maeneo mbalimbali

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 7, 2025
13h ago
Kampeini za urais nchini Uganda zimeshika kazi huku rais Yoweri Museveni na mgombea wa upinzani Robert Kyagulanyi wakifanya kampeni maeneo mbalimbali ya taifa hilo kabla ya uchaguzi mkuu wa mwezi Januari
Advertisement