Back to home

Gavana wa Murang'a Irungu Kang’ata awataka Wakenya kuepuka ukabila

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 9, 2025
8h ago
Viongozi wa kisiasa sasa wametoa wito kwa wakenya kususia siasa za ugawanyaji ili kuimarisha hadhi ya maisha jumu nchini. Akizungumza katika hafla ya mchango eneo la Seme kaunti ya Kisumu, gavana wa Murang’a Irungu Kang’ata alitilia mkazo umuhimu wa umoja na kupuuza uchochezi
Advertisement