Back to home
Miradi ya maji yaanzishwa na shirika la KVDA Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 10, 2025
8h ago
Ni afueni kwa wakazi wa Kilepoi Samburu kaskazini baada ya kuzinduliwa kwa mradi wa maji eneo hilo. Mradi huo unanuiwa kuzima uhasama unaosababishwa na uhaba wa maji miongoni mwa wafugaji.
Advertisement
Advertisement





