Back to home
Wakenya 15 kufukuzwa Marekani wakiwa wametajwa kama "majambazi hatari"
video
C
Citizen TV (Youtube)December 11, 2025
10h ago
Serikali ya Marekani imetoa orodha ya wakenya 15 ambao watafurushwa nchini humo. Wakenya hawa ni wale waliokabiliwa na kesi mbalimbali ikiwemo wizi wa mabavu, dawa za kulevya na hata wengine kwa kuendesha gari wakiwa walevi. Hii ni sehemu ya awamu ya serikali ya Rais Donald Trump
Advertisement
Advertisement




