Back to home

Mtu mmoja auawa kwenye ajali ajali katika eneo la Chiromo, Nairobi

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 15, 2025
2h ago
Mtu mmoja ameaga dunia huku wengine wanne wakipata majeraha mabaya baada ya matatu waliyokuwa wakisafiria kuhusika kwenye ajali katika eneo la Chiromo kwenye barabara kuu ya Waiyaki hapa Nairobi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as to
Advertisement