Back to home
Familia zaidi ya 2,000 zapewa chakula cha msaada Eldas, Kaunti ya Wajir
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
4h ago
Serikali inaendelea kuwafikia watu walioathirika na ukame, huku familia zaidi ya elfu mbili katika eneo la Eldas, Kaunti ya Wajir, zikipewa chakula cha msaada.
Advertisement
Advertisement





