Back to home

Vijana wa Nyeri washauriwa kutafuta msaada wa msongo wa mawazo

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 16, 2025
4h ago
Kama njia ya kupunguza idadi kubwa ya wakenya wanaotambuliwa na msongo wa mawazo, wizara ya jinsia imewataka vijana nchini na ambao wamedhibitishwa kuathirika pakubwa kubuni njia za kuyazungumzia matatizo waliyo nayo.
Advertisement