Back to home

Wanawake wenye ulemavu walalamika kaunti ya Kwale

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 16, 2025
4h ago
Wanawake wenye ulemavu katika kaunti ya Kwale wameitaka serikali ya kaunti na ya kitaifa kuhakikisha wanajumuishwa kwenye sekta ya afya kwa kuwaajiri baadhi yao kama wahudumu wa afya nyanjani
Advertisement