Back to home
Wasanii wa Trans Nzoia wataka wawezeheshwe kiuchumi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
3h ago
Wasanii wa Kaunti ya Trans Nzoia chini ya muungano wa Transnzoia Creative Association wamelalamikia kutengwa na viongozi wa kaunti hiyo katika miradi ya uwezeshaji kiuchumi na hafla za umma.
Advertisement
Advertisement





