Back to home
Familia Kakamega yaomboleza jamaa walioaga dunia
video
C
Citizen TV (Youtube)December 16, 2025
3h ago
Watu kumi waliofariki kwenye ajali katika eneo la Kodada walikuwa wamehudhuria harusi kaunti ya Kakamega kabla ya kukumbuna na mauti . Hata hivyo, sasa kijiji cha Sichirai kaunti ya Kakamega, walikotoka jamaa na wanakwaya waliofariki kimegeuza sherehe kuwa mazishi. Bwana harusi
Advertisement
Advertisement




