Back to home

Zaidi ya wakenya milioni 2.1 wameathirika na njaa nchini

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 17, 2025
2h ago
Serikali sasa inaomba msaada wa kifedha na kibinadamu kutoka kwa kampuni binafsi na mashirika ya kibinadamu kusaidia zaidi ya wakenya milioni mbili wanaokumbwa na hatari ya baa la njaa. Kaunti 32 zimetajwa kuwa kwenye hatari huku kumi zikiwa kwenye hali mbaya zaidi. Naibu Rais Pr
Advertisement