Back to home

Kituo cha redio cha Vuuka chaandaa kambi ya matibabu huko Vihiga

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 22, 2025
2h ago
Wakazi wa kaunti ya Vihiga wamenufaika msimu huu wa Krismasi baada ya kampuni ya Royalmedia ikishiriana na wakfu wa Lomosi kuandaa matibabu ya bure huko Shamakhokho kaunti ya Vihiga.
Advertisement