Back to home
Gavana Wavinya Ndeti azindua ujenzi wa barabara Mlolongo
video
C
Citizen TV (Youtube)December 22, 2025
2h ago
Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, amewaonya wakazi wa Mlolongo dhidi ya kuvamia maeneo yaliyotengewa ujenzi wa barabara, akisema tabia hiyo inachelewesha miradi ya miundomsingi katika kaunti hiyo.
Advertisement
Advertisement




