Back to home
Wataalamu wa afya ya akili waandaa matembezi Jijini Nairobi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 22, 2025
2h ago
Kundi moja linalojihusisha na kuhamasisha umma kuhusu afya ya akili liliandaa matembezi ya uhamasisho kuhusu maradhi ya hisia zinazobadilikabadilika yaani Bipolar hapa Jijini Nairobi.
Advertisement
Advertisement




