Back to home

Serikali ya kaunti ya Machakos, wazazi na jamii washirikaina kujenga barabara

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 22, 2025
5h ago
Ni afueni kwa mamia ya wakazi wa eneo ndogo la Sabaki katika kaunti ya Machakos baada ya wazazi wa shule ya mtakatifu Bakhita, jamii na kaunti kushirikiana na kujenga barabara iliyokuwa kikwazo cha maendeleo kwa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Subscribe and watch NTV Kenya l
Advertisement