Back to home
Wakaazi wa Kiambaa na Kabete wapokea msaada wa chakula na zawadi mbalimbali
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 24, 2025
3h ago
Maeneo ya bunge ya Kiambaa na Kabete yamepokea msaada wa chakula na zawadi mbalimbali. Familia hizo zilielezea changamoto kubwa za kiuchumi zinazowakumba, zikiwemo gharama ya juu ya maisha na ongezeko la ushuru, hali ambayo imeathiri pakubwa maandalizi ya msimu wa sherehe.
Subs
Advertisement
Advertisement





