Back to home

Wazazi kutoka Bumula wahimizwa kuwapa wanao chanjo zinazohitajika

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 24, 2025
1h ago
Wazazi kutoka kaunti ya Bungoma eneo bunge la bumula wamehimizwa kuwapa wanao chanjo zinazohitajika haswa wakiwa chini ya umri wa miaka mitano ili kuwakinga dhidi ya maambukizi ya magonjwa sugu Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told
Advertisement