Back to home

Polisi wanachunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa chuo cha Daystar

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 24, 2025
2h ago
Polisi wanachunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Daystar wakati wa tamasha ya msanii wa Afrobeat iliyofanyika Jumamosi katika Uwanja wa Nyayo. Karen Lojore, anaripotiwa kufariki baada ya mkanyagano kutokea katika milango ya uwanja huo. Familia
Advertisement