Back to home

Washukiwa wapewa zawadi kituoni Central Mombasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 26, 2025
4h ago
Huku sherehe za krismasi zikiendelea ulimwenguni kote, wakristo, serikali na mashirika ya kijamii yametakiwa kuwakumbuka watu wa mapato ya chini pamoja na wanaorandaranda mitaani kama njia mojawapo ya kuonyesha upendo. Akizungumza na wanahabari jijini Mombasa kwenye hafla ya kuwa
Advertisement