Back to home
Mahujaji wa kitamaduni wafanya maombi ya kila mwaka katika Mlima Kenya
video
C
Citizen TV (Youtube)December 27, 2025
2h ago
Mamia ya mahujaji wa kitamaduni walikusanyika katika kaunti ya Kirinyaga kwa maombi maalum yanayofanyika kila mwaka. Wakiongozwa na wazee kutoka jamii ya Agikuyu, mahujaji hao walifanya maombi kwa ajili ya amani na umoja wa wakenya, haswa wakati huu ambapo joto la kisiasa linazid
Advertisement
Advertisement





