Back to home
Mackenzie FC wanyakuwa ubingwa wa Mchuano wa Makena Junior
video
C
Citizen TV (Youtube)December 30, 2025
2h ago
Mackenzie fc wamenyakuwa kwa mara ya tatu mfululizo taji la mchuano wa Makena Junior kwa kuwalaza Shakahola fc mabao matatu kwa moja katika uwanja wa chuo cha kiufundi cha Katine huko Machakos.
Advertisement
Advertisement





