Back to home
Majonzi ya waathiriwa wa maandamano ya 2024 yangali hai huku 2025 ikiangazia mateso mengine
video
C
Citizen TV (Youtube)December 31, 2025
3h ago
Majonzi ya familia zilizowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa mwaka wa 2024 yangali yanachuruzika nyusoni mwaka mmoja baadaye, huku maandimisho ya kumbukumbu ya matukio hayo yalitonesha makovu. Mwaka huu wa 2025 pia ulitoa fursa ya kuangazia madhi
Advertisement
Advertisement





