Back to home
Wapiga picha wa habari wakiwa nyuma ya risasi, machozi na hatari za kila siku
video
C
Citizen TV (Youtube)January 1, 2026
3h ago
Kila unapotazama taarifa zetu kila siku, unayemfahamu zaidi ni msomaji wa habari na mwanahabari anayekujuza yaliyojiri. Hata hivyo, nyuma ya kila picha unayotazama, wapiga picha huwa na jukumu zito kuhakikisha picha ya taarifa zilizojiri zinakupa ufahamu halisi wa mambo yalivyoku
Advertisement
Advertisement





