Back to home

Maelfu wa wakazi wa Kilifi waukaribisha mwaka mpya katika tamasha la muziki na utamaduni

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 1, 2026
3h ago
Ilikuwa ni tafrija ya kuvutia kwa maelfu ya wakaazi wa Kaunti ya Kilifi waliokusanyika kukaribisha Mwaka Mpya kwa kutumbuizwa na wasanii mbalimbali kutoka kaunti hiyo katika fainali ya kusaka vipaji kwenye tamasha la muziki lililolenga kukuza talanta za wenyeji pamoja na wasanii
Advertisement