Back to home

Shirika la SHOFCO latoa ufadhili kwa wanafunzi 6,500

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 7, 2026
1d ago
Shirika la SHOFCO limetoa ufadhili wa elimu kwa wanafunzi 6,500 wa familia za mapato ya chini katika kaunti 11 ikiwemo Homabay .
Advertisement