Back to home
Elimu ya ngumbaru Turkana
video
C
Citizen TV (Youtube)January 8, 2026
22h ago
Wito umetolewa kwa serikali kuwekeza katika ujenzi wa madarasa ya elimu ya ngumbaru kaunti ya Turkana, ili kusaidia watu wazima waliokosa fursa ya kujua kusoma na kuandika wakiwa watoto wapate elimu.
Advertisement
Advertisement




