Back to home
Mfumo wa kutoa basari huko Mombasa wakashifiwa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 12, 2026
2h ago
Bunge la kaunti ya Mombasa limetaka serikali ya kaunti kuondoa kigezo cha mzazi kuwa mpigaji kura kwa mwanafunzi kupokea mgao wa basari kutoka kaunti hiyo.
Advertisement
Advertisement





