Back to home

Mechi tatu za ligi kuu ya Kenya ziratibiwa upya kabla ya raundi ya 17 wikendi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 13, 2026
2h ago
Mechi tatu za ligi kuu ya Kenya zitachezwa kesho na alhamisi kabla ya mechi za raundi ya 17 zilizopangwa wikendi. Mechi hizo tatu zilizoratibiwa upya zikihusisha timu ya polisi dhidi ya Mara Sugar, KCB dhidi ya Nairobi united na Gor Mahia dhidi ya Murang'a seal.
Advertisement