Back to home

Wafadhili wajitokeza kusaidia wanafunzi waliofanya vyema lakini kushindwa kujiunga na sekondari

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 13, 2026
2h ago
Siku moja baada ya runinga ya Citizen kupeperusha taarifa za baadhi ya wanafunzi waliofanya vyema na kushindwa kujiunga na sekondari ya juu, imekuwa furaha baada ya wafadhili kujitokeza kuwasaidia
Advertisement