Back to home
Wanafunzi wawili walipiwa karo na wakfu wa Gavana Sakaja
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
1h ago
Ndoto ya mwanafunzi Gladys Njoki Kariuki ya kujiunga na shule ya sekondari ilikuwa karibu kuzimika, licha ya kupata alama 64 katika mtihani wa kitaifa wa KJSEA. Ingawa alipata nafasi ya kujiunga na shule ya wasichana ya State House, hali ngumu ya maisha ilimkabili kwani wazazi w
Advertisement
Advertisement





