Back to home
Shule ya upili ya James Mwei huko Tongareni haina wanafunzi
video
C
Citizen TV (Youtube)January 16, 2026
1h ago
Licha ya wizara ya elimu nchini kuipa shule ya upili ya James Mwei kotoka eneo bunge la Tongaren mikondo mitatu ya kitaaluma , inasikitikisha kuwa tangu Jumatatu shule hiyo imewapokea wanafunzi sita pekee.
Advertisement
Advertisement



