Back to home

Mwanafunzi mwerevu Cecilia Kerubo ajiunga na shule ya kitaifa ya AIC Litein

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 16, 2026
1h ago
Siku moja baada ya runinga ya Citizen kuangazia taarifa ya Cecilia Kerubo, mwanafunzi aliyekata tamaa kujiunga na shule ya Kitaifa ya AIC Litein hatimaye ameanza masomo ya sekondari ya juu katika shule hiyo.
Advertisement