Back to home

Wanafunzi wengi wa gredi ya 10 wamekosa karo

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 17, 2026
4h ago
Saa chache baada ya wizara ya elimu kutangaza kuongezwa kwa muda wa kusajili wanafunzi wa Gredi ya 10 katika shule mbalimbali nchini, wazazi wengi wanasema tatizo kubwa si muda ila ukosefu wa pesa ndio unawasababisha kusalia na wana wao nyumbani. Runinga ya Citizen imepiga darubi
Advertisement