Back to home
Serikali yaagiza ukaguzi wa wanafunzi huku asilimia 60 pekee ya gredi ya 10 wakiripoti shuleni
video
C
Citizen TV (Youtube)January 18, 2026
8h ago
Serikali imeagiza ukaguzi wa wanafunzi katika maeneo mbalimbali nchini ili kutathmini sababu za maelfu ya wanafunzi wa gredi ya 10 kutofika shule hadi sasa. Hii ni baada ya wizara ya usalama wa kitaifa kukiri kuwa ni asilimia 60 tu ya wanafunzi walioripoti shule kufikia sasa. Hay
Advertisement
Advertisement





