Back to home

Wanafunzi wabaki nyumbani huku walimu wakiwa na wasiwasi kuhusu gharama

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 19, 2026
1d ago
Wasiwasi umeanza kuwakumba wasimamizi wa shule za sekondari za kutwa za juu nchini kutokana na idadi ndogo ya wanafunzi waliofika shuleni kufikia sasa. Katika baadhi ya shule, ni chini ya wanafunzi kumi waliofika, licha ya zaidi ya 100 kutarajiwa. Haya yanajiri huku baadhi ya wan
Advertisement