Back to home

Wakulima kutoka kaunti ya Garissa wahimizwa kujiunga na vyama vya ushirika

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
5h ago
Wakulima kutoka kaunti ya Garissa wamehimizwa kujiunga na vyama vya ushirika ili kupata soko ya mazao na mifugo wao kwa njia ya urahisi.
Advertisement