Back to home
Kenya inapoteza Sh150 bilioni kwenye uuzaji wa hisa Safaricom, asema Ndidi Nyoro
video
C
Citizen TV (Youtube)January 20, 2026
2h ago
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro ameeleza kamati ya bunge kuhusu Fedha na ile ya Ubinafsishaji kwamba Kenya itapata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni 150 kupitia uuzaji wa hisa zinazomilikiwa na serikali kwenye kampuni ya Safaricom. Wengine waliofika mbele ya kamati ya pamoja ya b
Advertisement
Advertisement




