Back to home
Ziara ya kutathmini hali yafanywa na maafisa wa serikali Wajir
video
C
Citizen TV (Youtube)January 21, 2026
2h ago
Serikali ya kitaifa imesisitiza dhamira yake ya kulinda maisha na vyanzo vya riziki huku maeneo kadhaa ya nchi yakiendelea kukumbwa na hali ya ukame.
Wakiongozwa na maafisa wa Idara ya Huduma Za Umma, viongozi hao wamefanya ziara ya kutathmini hali ya Ukame katika eneo la Wajir M
Advertisement
Advertisement




