Back to home

Serikali yaanza kusambaza chakula Garissa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 21, 2026
4h ago
Serikali imeanza zoezi la kusambaza chakula cha msaada katika baadhi ya maeneo ambayo yameathirika zaidi na baa la njaa katika kaunti za Garissa na Wajir. Akizindua mpango wa usambazaji chakula pamoja na malori ya maji safi ya kunywa, afisa mkuu wa mamlaka ya kuthibiti ukame NDMA
Advertisement