Back to home
Serikali kupitia idara ya mipango maalum imezuru Tana River
video
C
Citizen TV (Youtube)January 21, 2026
4h ago
Serikali kupitia idara ya mipango maalum imezuru Kaunti ya Tana river kutathmini Hali ya ukame.
Waziri wa mipango Maalum Geoffrey Ruku amesema idadi kubwa ya wakazi wa eneo hilo sawia na mifugo katika vijiji kadhaa yameathirika pakubwa. Aidha mabwawa muhimu yamekauka na kusababi
Advertisement
Advertisement





