Back to home
Bunduki moja zaidi yasalimishwa na wazee wa Orma, Tana River
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
4h ago
Bunduki moja zaidi aina ya AK 47 ikiwa na risasi tatu imesalimishwa na wazee wa jamii ya Orma kwa kamati ya usalama ya kaunti ndogo ya Bangale kaunti ya Tana River.
Advertisement
Advertisement

