Back to home

Wahudumu wa bodaboda Nanyuki waandamana

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 22, 2026
8h ago
Wahudumu wa bodaboda mjini Nanyuki wameandamana wakilalamikia Sheria ambazo zimewekwa na manispaa ya mji huo zinazowahitaji kupunguza kelele za bodaboda zao na kung'oa mataa yanayotoa mwangaza mkali. Wakiongea mjini Nanyuki baada ya kufanya maandamano ya amani wakielekea ofisi ya
Advertisement