Back to home
Mwanafunzi wa gredi ya 10 alipiwa karo na vifaa
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
2h ago
Machozi ya furaha yalimbubujika baada ya wasamaria wema kujitokeza kumsaidia Elias Mwangi, mwanafunzi ambaye aliangaziwa akitembea mitaa ya mji wa Nanyuki akitafuta msaada wa karo ya shule. Elias, mwanafunzi kutoka mtaa wa Likii katika Kaunti ya Laikipia, alikuwa ameacha ndoto ya
Advertisement
Advertisement





